Programu inayo sahidia kukarabati Nyumba

Jerusalem farm ni program iliyo jitoleya ambayo imeamasishwa na injili, na kuzingatiya sala, jumuia, usahihi na huduma. Tume jitolea ku endeleza mahusiano na ugawaji rasilimali kwa watu kwaku hudumisha nyumba zao na kuishi kwa usalama, afya njema na makazi yenye heshima.


Asante kwa kuwa na nia kwenye programu yetu. jerusam Farm inatumika juu ya kanuni zi fwatazo kwenye waombaji walio itimu:


  • Waombaji wanapaswa kuwa wa miliki wa nyumba na mapato yao ya nyumba yanatakiwa kuwa chini ya 80%
  • Jerusalem Farm ina tarajia wa pokeaji wenye uduma kulipiya garama ya mradi. Mikopo ambayo siyo ya riba inawezi ku pangwa na ku lipwa ndani ya kila mwezi.
  • M'miliki wa nyumba atakubaliana nasi kabla ya mradi kuanza na idadi ya malipo yake ya kila mwezi itakuwa kipindi mradi unamalizika. Akuna malipo ya nayo tarajiwa yenye kiwango cha chini. Na pia tuko wazi ku tumika kwa makubaliano kama uwezi kulipa.
  • Akuna kitu chochote kitakacho ombwa kwa wafanyakazi kama mapato ya nyumba iko kwenye 150% kwenye usawa wa miliki ya serikali au chini ya apo.
  • Jerusalem Farm inatumiya msaada iliyo jitolea, ikiwemo wanafunzi wa High-school na college ku maliza kazi. Kuna mida tuna weza ku ajiri misaada kutoka kwenye wakaaji wa mkoa.
  • Jerusalem Farm inatarajia familia ya muombaji ilio akikishwa ku saidia na majenzi na nyumba zilizo karabatiwa kama inawezekana. Atupendi kusaidia watu tu, ila tumeona njia njema ya kufanya ivi ni kwakutumika pamoja. lengo letu kubwa ni ku towa ufikiaji kwenye rasilimali vinginevyo aviwezi kufikiwa.
  • Jerusalem Farm itatowa karatasi inayo onyesha idadi walio tumiya kwenye bidhaa ya nyumba kipindi watakvyo maliza mradi.


Kama unaitaji nyumba yako kukarabatiwa ponyeza link apo chini ku jaza fomu ya maombi,

Ponyeza apa


Kipindi ambacho tutapata mahombi yako, tutapanga siku ya kuja kuona mradi ambao unahitaji tuhukamilishe.

kwabahati mbaya sisi siyo huduma ya dhurura, na kunauwezekano wakusubiri kwa mda wa miezi 6.